Date Range
Date Range
Date Range
In purchasing domain name, please submit this form. To save time, use Facebook. To pre-fill your contact information. We will contact you back with two business days. CONGO, THE DEMOCRATIC REPUBLIC OF THE. HEARD ISLAND AND MCDONALD ISLANDS. IRAN, ISLAMIC REPUBLIC OF. KOREA DEMOCRATIC PEOPLES REPUBLIC OF.
Ni siku nyingi sana zimepita tangu nilipoandikia blog hii. Mizunguko ya kimaisha ya hapa na pale ilinifanya kuwa kimya sana. Nimekuja kuwatakia heri ya mwisho wa mwezi wa septemba na kuwatakia Baraka nyingi kwa mwezi oktoba. Oktoba ni mwezi muhimu sana kwa nchi yetu. Uchaguzi wa madiwani, wabunge, wawakilishi na rais. Litakuwa jambo jema kama tutawachagua viongizi bora watakaotuongiza pale walipoishia wengine. Nawataki heri na Baraka nyingi.